FUNKY LINES
Phrase of the Week
“Nitakunywa Senator ka Obama”
One liners
“Nadhani nilisniff glue kwa sababu umestick in my mind tangu nikucheki”
“Usijifanye Wawesh ati mjanja”
Best Quote
Niliskia kwa t.v
“Navumilia kuwa Mkenya”
“Nitakunywa Senator ka Obama”
“Nadhani nilisniff glue kwa sababu umestick in my mind tangu nikucheki”
“Usijifanye Wawesh ati mjanja”
Best Quote
Niliskia kwa t.v
“Navumilia kuwa Mkenya”
Familia nzima hugandiza ovyo-ovyo kwa maslums
Tao hadi inda kerende zinangojana kupata habari ya janta imepatikana
Asubuhi sauti yangu kwa lami na vumbi zikihojiana
Sole za chuja zinaanza kugotana
Nauli nafuu itapatikana asubuhi na mapema
Wakenya tumeamua kuhema
Maisha si Pop ka ngoma ya Sema
Chakula kibandani ni chafua au choma
Kelele ni ya mate ikiflow kwa mdomo
Mkurugenzi anahisi moto kwa mkono
Kukufuta kazi nd’o alale unono
Sanasana kumanga chakula cha mchana ni bahati
Nimechoka na michoro za kudoro kwa kitanda
Nimechoka na pozi different za kutulia kwa sofa
Nimechoka na njaro mpya za kusorora mamanzi
Nimechoka na schemes weird za kusample keroro
Nipe nafasi niuze moto kwa Ibilisi, niuze dhahabu mbinguni
Wanadhani ni rahisi, kumbe nafuata kichochoro kati ya makahaba
Miaka arobaini kati ya mimba na msiba
Natia raondi ni ka niko rubber
Gava wanaban ads za barley nd’o wasee wanywe chang’aa
Usiku, mi ni mweusi kushinda kaa
Majambazi, masampa, marafiki hawanipati
Niko kazini, chini ya maji vile hipster huficha kasoro ya mateke
Televisheni, Redio na hata kanda ya video
Naona ujinga wa mamboleo
Naona wale wale na blingbling, ma soap opera wakising sing, ile ile drink ndani wanasink
Macho yangu inablink,
Kiongozi habadiliki nimtricky, Nimemuona tangu siku za Kiini Macho
Kwa masa, mende za kisasa, kwa kona zinaosa
Council ya city itashika wafanyikazi na ilenge majambazi
Pozi za machozi kwa ngozi ya nephew zina hydraulics
Ninahandle beef na toothpick-naiprick kisha naispit
Same ol’ same ol’ hawanitaki na P.E kit
Makelele ya preps ilinishow kilele
Campus kucheat nilicheka under pressure
Mwakenya pleasure under measure
When I met her:
Nilipokuona nilimesea wewe ni kama ngoma- lazima nikuroge
Nikasare kerende, Beshte ya me akanishow nisikupende,
Lakini mi ni ka mende, Lazima nione cracks and crevices
Kiakili ulinibless, ikabidi nibadilishe pace, kustroll chini ya mwezi vilazy
Ju maisha ya haraka ka paparazzi hufanya nijitumbukize kwa kazi,
Roho yangu ikawa wazi
Tukaflow viEasy kama E, soul Heavy kama D, uliniMaster kama P, sikueRupt kama K, ingawa uliniita Sir kama E